Jinsi ya kulipia ada za uwanachama
Mpesa
1 Piga *150*00#
2 Chagua 1 'Tuma Pesa'
3 Chagua 4 'Kwenda Benki'
4 Chagua 1 'CRDB'
5 Chagua 1 'Weka namba ya Akaunti'
6 Ingiza namba ya malipo
Mfano: C00000001023017 Weka kiasi
8 Weka namba ya siri
9 Chagua 1 kukubali
Tigo Pesa
1 Piga *150*01#
2 Chagua 7 'Huduma za Kifedha'
3 Chagua 1 'Tigo Pesa Kwenda Benki'
4 Chagua 1 'CRDB'
5 Chagua 1 'Kuingiza namba ya kumbukumbu'
6 Weka namba ya kumbukumbu ya malipo
Mfano: C00000001023017 Ingiza kiasi unachotuma
8 Weka namba ya siri kuhakiki
9 Chagua 1 kukubali
Airtel Money
1 Piga *150*60#
2 Chagua 1 'Tuma Pesa'
3 Chagua 3 'Kwenda Benki'
4 Chagua 2 'CRDB Bank'
5 Chagua 1 'Weka namba ya malipo'
Mfano: C00000001023016 Weka kiasi
7 Weka Namba ya siri
CRDB Bank SimBanking / Wakala
1 Chagua Service ya Online Transactions
2 Chagua Category ya Others
3 Chagua CCM Payment
4 Ingiza Invoice No.
Mfano: C00000001023015 Bonyeza Get Details
6 Hakiki taarifa
7 Ingiza namba ya simu ya mlipaji
8 Ingiza kiasi
9 Bonyeza Proceed